Maisha huwa mazuri pale mtu au watu anapokidhi mahitaji yake ya kila siku, lakin huwa mazuri zaid pale malengo na mategemeo yake yanapofanikiwa...mtu huyu au watu hawa hupata faraja ya moyoni pale ambapo yale waliyo yategemea kutoka kwa viongozi wao wanao waongoza pengnine kwa kuwapigia kura au kwa taalum huskia wanayapata kwa wakati na kwa mafanikio zaidi.
Tanzania ya leo ni nchi ambayo kiukweli imepiga hatua kadhaa kutoka enzi za ukoloni hadi leo hii ambapo ni taifa huru lenye maamuzi yake yake lenyewe.........swali je mambo ambayo watanzania waliyategemea kutoka mamlaka za juu kuhusu mstakali wa maisha yao ya leo na yajao umefikia? au bado manung'uniko yamejaa kila kona. Majanga hayaishi kila leo mara hivi mara viile....,,inapendeza sana pale ambapo wananchi wanapokubaliana na majanga yanapotokea sio kuyakwepa maana hautakuwa umeyatatua,,,,lakini mbaya zaidi majanga haya ni bora yawe yale yanayosababishwa na asili yaani ntural disasters....sio kama majanga ya sasa ambayo ni kutengenezwa na mtu au watu yaani man-made disasters......